.header { background: url(images/acenavy/logo.jpg) no-repeat; height: 250px; }

mawazohuru njoo tuongee pamoja

User info

Welcome, Guest! Please login or register.


You are here » mawazohuru njoo tuongee pamoja » UWANJA WA SIASA » Magufuli Utani Unapitiliza


Magufuli Utani Unapitiliza

Posts 1 to 2 of 2

1

Mambo Ya Mungu tuyaache kama yalivyo ndio maana imeandika ya kaisali mwachie kaisali na yale ya Mungu basi tumwachie Mungu,
kitendo cha mkuu kusema anaongoza vizuri ilihata akienda mbinguni Mungu anaweza kumpa uongozi wa kuongoza malaika, sisi tulindani kiroho tunaona kama hapa utani umekuaa too much,
mwisho siku moja atasema yeye ni kama Yesu.
Biblia Inasema Mungu hapendi mzaha.
hebu tuangalie utani wetu usituweke pabaya, vile vile watu mkumbuke uongozi bora si tiket ya kwenda mbinguni
isipokuwa ni matendo bora na njia safi mbele za Mungu

Naomba Niishie Hapo

2

Alikua Anatania Bwana

Quick post

Write and submit your messageYou are here » mawazohuru njoo tuongee pamoja » UWANJA WA SIASA » Magufuli Utani Unapitiliza