.header { background: url(images/acenavy/logo.jpg) no-repeat; height: 250px; }

mawazohuru njoo tuongee pamoja

User info

Welcome, Guest! Please login or register.


You are here » mawazohuru njoo tuongee pamoja » NAFASI ZA KAZI NA AJIRA » KUTOKANA NA AJIRA NIMESHUHUDIA RAFIKI YANGU AKITAPELIWA 60


KUTOKANA NA AJIRA NIMESHUHUDIA RAFIKI YANGU AKITAPELIWA 60

Posts 1 to 4 of 4

1

Utapeli wa watu juu ya wale wanaotafuta ajira naona sasaivi umeota mizizi,
nimeshuhudia jamaa yangu kaliwa elfu sitini na watu waliomlaghai kuwa wanamuunganishia ajira,
jamaa yangu alipigiwa simu na mtu akidai nafasi za kazi ni chache hivyo anataka amuunganishe moja kwa moja serkaln zikitoka atakuwemo moja kwa moja,
alimuomba 60elfu,
kosa alipomtumia tu mpaka wa sasa simu haijapatkana,

jamani tuwe makini sana hasa kwa wale ambao bado wanasaka ajira

2

Pole

3

kwa zama hizi bado mtu anatuma pesa kienyeji tu.

4

kwa sasa watu wameamua

Quick post

Write and submit your messageYou are here » mawazohuru njoo tuongee pamoja » NAFASI ZA KAZI NA AJIRA » KUTOKANA NA AJIRA NIMESHUHUDIA RAFIKI YANGU AKITAPELIWA 60