.header { background: url(images/acenavy/logo.jpg) no-repeat; height: 250px; }

mawazohuru njoo tuongee pamoja

User info

Welcome, Guest! Please login or register.


You are here » mawazohuru njoo tuongee pamoja » BURUDANI NA HABARI ZA MASTAA » SWALI LA WOLPER KWA WAZIRI ALIYEZUIA NGUO FUPI


SWALI LA WOLPER KWA WAZIRI ALIYEZUIA NGUO FUPI

Posts 1 to 4 of 4

1

http://sk.uploads.im/t/IuTeZ.jpg
Siku ya leo March 1, 2018 Muigizaji wa Bongomovie na mwanamitindo Jacqueline Wolper ame-post kwenye ukurasa wake wa Instagram na kuuliza swali kwa Waziri Shonza aliyewahi kupiga marufuku wasanii wanaovaa nguo nusu utupu na ku-post picha zao kwenye mitandao ya kijamii.

Wolper ambaye aliandika ujumbe katika ukurasa wake kisha baadae kuufuta aliandika hivi..>>>“Haki ya ukweli yule kiongozi wa kukomesha vichupi yupo wapi mbona bado tunaona makalio Insta au ndo sanaa every where  me I Wonder mpaka jasho la damu linanitoka chaaa.. #akunaliyenihucknaulizaswali” – Wolper

Last edited by MESSI (01-03-2018 16:00:19)

2

wolper ashafulia na bongo movie ikmekufa

3

SEMEDU wrote:

wolper ashafulia na bongo movie ikmekufa

:shine:  :shine:

4

Sijamwelewa

Quick post

Write and submit your messageYou are here » mawazohuru njoo tuongee pamoja » BURUDANI NA HABARI ZA MASTAA » SWALI LA WOLPER KWA WAZIRI ALIYEZUIA NGUO FUPI