.header { background: url(images/acenavy/logo.jpg) no-repeat; height: 250px; }

mawazohuru njoo tuongee pamoja

User info

Welcome, Guest! Please login or register.


You are here » mawazohuru njoo tuongee pamoja » ELIMU YETU NA HABARI VYUONI. » MWALIMU ALIYECHORA MOCROSOFT WORLD ALA SHAVU


MWALIMU ALIYECHORA MOCROSOFT WORLD ALA SHAVU

Posts 1 to 9 of 9

1

Siku hivi karibuni picha moja ilisambaa kwenye mitandao ya kijamii ambayo ilimuonesha mwalimu mmoja ambaye ametambulika kama mwalimu nchini Ghana ambaye ilimbidi achore programu kompyuta ya Microsoft Word kwenye ubao ili awafundishe wanafunzi wake.

Mwalimu huyo anayejulikana kwa jina la Owura Kwadwo alilazimika kufanya hivyo kutokana na ukosefu wa kompyuta shuleni hapo na kutokana na post yake ya Facebook kuhusu picha hiyo alisema kwakuwa anawapenda wanafunzi wake ilimbidi afanya hivyo.

Kutokana na kusambaa sana kwa picha hiyo kwenye mitandao ya kijamii, wafanyakazi wa Microsoft na hivyo kuandika kwenye ukurasa wao wa Twitter jinsi walivyoguswa na kijana huyo na kwamba watampa msaada wa vifaa vya kufundishia.
http://sk.uploads.im/t/vUdiN.jpg

2

FAIDA YA KUJITUMA KAZINI

3

Kwanini wasimpe pesa akajikubali?

4

cha kushangaza na kusikitisha waliompa shavu ni watu wa mbele serikali yake inaona ni jambo la kawaida tu,  Africa bwana :angry:  :angry:

5

anajitahidi  :crazyfun:  :crazyfun:  :crazyfun:  huyu mwalimu alikuwa amekokiwa?

6

NEEMA M wrote:

anajitahidi        huyu mwalimu alikuwa amekokiwa?

:D  :D  :D

7

samson liston wrote:

Kwanini wasimpe pesa akajikubali?

msaada hauna masharti

8

safi sana

9

Anastahili Kupewa

Quick post

Write and submit your messageYou are here » mawazohuru njoo tuongee pamoja » ELIMU YETU NA HABARI VYUONI. » MWALIMU ALIYECHORA MOCROSOFT WORLD ALA SHAVU