.header { background: url(images/acenavy/logo.jpg) no-repeat; height: 250px; }

mawazohuru njoo tuongee pamoja

User info

Welcome, Guest! Please login or register.

You are here » mawazohuru njoo tuongee pamoja » INFORMATION TECHNOLOGY » JINSI YA KUPATA INTERNET BURE BILA KUWEKA SALIO

JINSI YA KUPATA INTERNET BURE BILA KUWEKA SALIO

Posts 1 to 6 of 6

1

Je! Umewahi kutaka kutumia internet lakini haukuweza kutokana na kukosa bando la internet?
Naam, sasa ni wakati wa kuagana na malipo ya bando za internet!
Leo nitawafundisha jinsi ya internet ya bure (100mb) kila siku!
Huna haja ya kuwa na hofu tena Ungana nami mwanzo mpaka mwisho kufahamu!

Kabla ya kuanza hatua hizi, ni lazima simu yako iwe rooted, kama hufahamu namna ya kuroot simu yako au kama hufaamu nini maana ya kuroot simu, tafadhari BOFYA HAPA
Hatua:
1. Pakua programu ya DROID VPN kutoka kiungo(link) hapo chini:BOFYA HAPA KUPAKUA2. Fungua programu na uende kwenye SETTINGS
3. Chagua CONFIGURE ACCOUNT
4. Bonyeza REGISTER NEW ACCOUNT
5. Jaza usajili wako kisha uende kwenye barua pepe yako iliyosajiliwa ili usome maelezo ambayo yanajumuisha jina la mtumiaji na nenosiri
6. Rudia hatua ya 2 na hatua ya 3 kujaza taarifa zilizotumwa kwenye maelezo yaliyotumwa kwa barua pepe yako
7. Bonyeza CONNECT na furahia internet ya bure kila siku

NB: Programu hii imejaribiwa na line ya Vodacom na ilifanya kazi 100% kamilifu. Ikiwa unatumia line nyingine ya sim na imefanya kazi tafadhali nijulishe katika sanduku la maoni na pia ikiwa haikufanya kazi tafadhali napenda kujua line ya mtandao unaotumia kwa kuniandikia kwenye sanduku la maoni

https://youtu.be/W1htV8cyL5g

2

masopa wrote:

imekataa!

Last edited by JACKLINA ESAU (28-02-2018 15:02:09)

3

JACKLINA ESAU wrote:

imekataa!

Last edited by JACKLINA ESAU (Today 15:02:09)

nunua vovha kama imekataa

4

Mcalo Nshoe wrote:

nunua vovha kama imekataa

ndo nini hii

5

nimejaribu lakini inaktaaa na kunilea warnig kwamba it cause risk!

6

vipi ukitumia simu ya kawaida nayo inawezekana?

Quick post

Write and submit your messageYou are here » mawazohuru njoo tuongee pamoja » INFORMATION TECHNOLOGY » JINSI YA KUPATA INTERNET BURE BILA KUWEKA SALIO