.header { background: url(images/acenavy/logo.jpg) no-repeat; height: 250px; }

mawazohuru njoo tuongee pamoja

User info

Welcome, Guest! Please login or register.

You are here » mawazohuru njoo tuongee pamoja » DONDOO ZA UREMBO NA UTANASHATI » ZUIA NYWELE ZAKO KUWA KAVU

ZUIA NYWELE ZAKO KUWA KAVU

Posts 1 to 3 of 3

1

kwanza inafaa ufahamu ni nini  kinacho kusababishia nywele zako kuwa kavu , na kuanza kukatika katika, mara nyingi nywele kuwa kavu inaweza  kutokana na sababu mbalimbali.Hapa kuna machache, na kipi unachoweza kufanya ili kurejesha unyevu katika nywele zako kavu:

kutumia vifaa vyenye joto kali kukaushia nywele (hair dry) , vinaweza kusababisha nywele kuwa kavu.
http://sk.uploads.im/t/asHXd.jpg

Kuosha nweyele zako mara kwa mara kwa shampoo  (Overwashing) bila kuwa na taadhali,How-To-Shampoo-Your-Hair3.jpg
kuachia nywele zako kwa muda mrefu kwenye mwanga wa jua,upepo au kutumia maji ya chumvi kwa muda mrefu kuosha nywele zako kunaweza kusababisha ukavu wa nywele pia.avoid-exposing-the-hair-to-too-much-sunlight.jpg
kutumia chemicali mara kwa kwa mara husababisha nywele kuwa kavu. (too many chemical Treatment)dyinghair.jpg
kutumia brashi mbaya au stairi mbaya ya uchanaji nywele  pia husababisha kupoteza unyevunyevu wa nywele na hivyo kufanya nywele kuwa kavu.dirtybrush.jpg
NINI CHA KUFANYA KUKINGA NWELE ZAKO ZISIPOTEZE UNYEVUNYEVU

Usitumie shampoo kila mara kuosha nywele zako, kila kitu kizuri ukikitumia kwa wingi kupita kiasi  kinakua na madhara hapa jaribu kupangilia angalau siku mbili mbili au zaidi maan hata kutumia shampoo kwa wingi zaidi ina leta madhara, kitaalamu inashauriwa osha nywele zako co-wash angalau mara mbili kwa wiki na mara mbili hadi tatu kwa mwezi kwa kutumia shampoo
Tumia shampoo nzuri inayoendana na nywele Zako, hapa yakupasa utambue una aina gani ya nywele na je, ni shampoo ipi ianakufaa zaidi? usitegemee shampoo za saloon ni vyema hata ukienda saloon ukaenda  na shampoo yako mkononi kwani saloon nyingine hata shampoo wanachanganya na maji, usiende tu saloon ukakubali kuoshwa hata kwa shampoo usizozifahamu zingine sio shampoo kabisa
Vaa kofia laini au kitambaa ulalapo, jenga mazoea ya kuvaa kofia laini ya kulalia ili kutunza unyevu nyevu wa nywele zako unapolala bila kuwa na kofia au kitambaa unaweza usababisha nywele kuvurugika na wakati mwingine hupoteza unyevu wake taratibu na huweza kusababisha kuwa na ukavuimages.jpg
Punguza mionzi ya kunyooshea nywele zako, siku ukitaka kubadili muonekano au ur hair style ukaamua kuzichoma/kusipasi au kunyoosha nywele zako kwa kutumia moto au umeme…unashauriwa kupunguza temperature au kutumia kinga (mafuta maalum) ambayo inafanya nywele zako zisipate damage wakati ya kuzinyoosha hii itakusaidia kutunza moisture sambamba na kupunguza ukatikaji wa nywele zako
Tumia Moisturizer/Vilainishi Vya Nywele mara kwa mara, Hakikisha unatumia moisturizer kila siku Wengine hawafanyi kila siku. Inategemea na aina za nywele ulizonazo. Wakati wa kuweka moisturizer,hakikisha unapaka kila mahali haswa kwenye ncha za nywele zako(split ends). Mara nyingi huwa tunazisahau zile za juu. Badala yake wengi tunapaka zaidi kwenye ngozi ya kichwa tu. Ndio maana huwa inasisitizwa kuzikata zile split ends kwa sababu huwa zimekauka na dhaifu.

2

asade

roy wrote:

Last edited by JACKLINA ESAU (28-02-2018 09:46:06)

3

JACKLINA ESAU wrote:

asade

Last edited by JACKLINA ESAU (Today 09:46:06)

haya

Quick post

Write and submit your messageYou are here » mawazohuru njoo tuongee pamoja » DONDOO ZA UREMBO NA UTANASHATI » ZUIA NYWELE ZAKO KUWA KAVU