wa kwanza wa kike kupata umaarufu zaidi kwenye soko la filamu nchini India (Bollywood), Sridevi Kapoor jana usiku amefariki dunia kutokana na mshtuko wa moyo akiwa na miaka 54.

[​IMG]
Sridevi Kapoor

Taarifa iliyotolewa na familia yake imesema Sridevi alikuwa na familia yake mjini Dubai kuhudhuria harusi wa mpwa wake.

Sridevi amekuwa kwenye tasnia ya filamu kwa miongo minne ambapo amefanikiwa kushiriki kwenye filamu 300 na baadhi ya filamu zilizompa umaarufu ni kama Mr. India, Chandni, ChaalBaaz na Sadma.

Sridevi alitajwa kuwa mmoja wa wasanii wachache wa kike waliopata mafanikio makubwa bila ya msaada wa wanaume.

Baada ya taarifa hizo, maelfu ya watu walikusanyika nje ya nyumba yake jijini Mumbai huku waigizaji wenzake na viongozi wa serikalini akiwemo Rais wa India Ram Nath Kovind kupitia ukurasa wake wa Twitter akiandika “Shocked to hear of passing of movie star Sridevi.

She has left millions of fans heartbroken. Her performances in films such as ‘Moondram Pirai’, ‘Lamhe’ and ‘English Vinglish’ remain an inspiration for other actors. My condolences to her family and close associates,”

Naye Waziri Mkuu wa India, Narendra Modi ameandika katika mtandao wa twitter “Saddened by the untimely demise of noted actor Sridevi. She was a veteran of the film industry, whose long career included diverse roles and memorable performances. My thoughts are with her family and admirers in this hour of grief. May her soul rest in peace.”

Kifo cha Sridevi kinakuja ikiwa ni miezi miwili imepita tangu mjomba wake ambaye alikuwa ni mmoja ya waigizaji nguli wa filamu nchini humo, Shashi Kapoor aage dunia.

Bongo 5

================FOR ENGLISH AUDIENCE===============

Bollywood actor Sridevi Kapoor died due to “accidental drowning” in a bathtub, according to a forensic report seen by local media.

Dubai Police released the report to family, revealing traces of alcohol were found in the 54-year-old’s body. According to Gulf News, she accidentally lost balance, fell into the bathtub and drowned.

Born Shree Amma Yanger Ayyapan, Sridevi made her Bollywood debut at in 1975 drama Julie, aged four. She later landed a starring role in 1979 drama Solva Sawan; having multiple commercial successes, including Himmatwala (1983), which cemented her place as one of Bollywood’s top stars, Mawaali (1983), Maqsad (1984) and Waqt Ki Awaz (1988).

Prime Minister Narendra Modi wrote: “She was a veteran of the film industry, whose long career included diverse roles and memorable performances.”

She is survived by her husband and two daughters, Jhanvi and Khushi.
http://sk.uploads.im/t/ji8ou.jpg