.header { background: url(images/acenavy/logo.jpg) no-repeat; height: 250px; }

mawazohuru njoo tuongee pamoja

User info

Welcome, Guest! Please login or register.


You are here » mawazohuru njoo tuongee pamoja » HABARI NA MATUKIO MBALIMBALI » Waziri wa Viwanda na Biashara, Ndg Mwijage unasubiri nini kujiuzulu?


Waziri wa Viwanda na Biashara, Ndg Mwijage unasubiri nini kujiuzulu?

Posts 1 to 5 of 5

1

Siyo siri, hali ya kibiashara nchini si nzuri.
Mazingira ya kufanya biashara na hata kuendesha au kuwekeza kwenye viwanda ni ngumu.

Sera za kuhamasisha viwanda na biashara zimeyeyuka au hazipo kabisa.
Pita Kariakoo, "wapiga dili" wamesepa, mafremu yamefungwa.
Biasgara kubwa kubwa nazo ilikuwa dili tupu, zinafungwa.
Ole wako ukikutwa unafanya biashara na TRA.
Katika hali kama hii sijui Mwijage, Waziri wa Viwanda na Biashara anasubiri nini ofisini.
Heri wizara yake ikawa chini ya wizara ya Fedha ili kieleweke.

2

:tomato: kweli kabisa

3

akijiuzuru utapata faida gani?

4

utasubiri sana

5

JACKLINA ESAU wrote:

akijiuzuru utapata faida gani?

:D  :D  :D  :D  :D  :D

Quick post

Write and submit your messageYou are here » mawazohuru njoo tuongee pamoja » HABARI NA MATUKIO MBALIMBALI » Waziri wa Viwanda na Biashara, Ndg Mwijage unasubiri nini kujiuzulu?