.header { background: url(images/acenavy/logo.jpg) no-repeat; height: 250px; }

mawazohuru njoo tuongee pamoja

User info

Welcome, Guest! Please login or register.


You are here » mawazohuru njoo tuongee pamoja » HABARI NA MATUKIO MBALIMBALI » Mtatiro: Hukumu ya Sugu imenishangaza!


Mtatiro: Hukumu ya Sugu imenishangaza!

Posts 1 to 7 of 7

1

Nimesoma hii CHARGE SHEET iliyotumika kumshitaki SUGU! Hakuna hata sehemu moja ambapo Sugu amemtukana mtu. Hata tusipotumia maneno 100 au 200 aliyoyazungumza kabla ya nukuu hii waliyoitumia, tutagundua kuwa nukuu hii peke yake siyo matusi. Nchi yetu imeharibiwa kweli kweli!

Lakini pia, maneno hayo ya Sugu, hakuna mahali yanakohamasisha uvunjifu wa amani wala vurugu wala uchochezi. Na hadi sasa hakuna mahali popote ambako kuna vurugu au uvunjifu wa amani umetokea kwa kuhamasishwa na maneno ya Sugu.

Itoshe tu kusema kuwa Mahakama ni sehemu ya kutenda haki na najua kuwa majaji hawatakubali Mahakama ivamiwe na kutumiwa na wanasiasa wenye dola ili kuwakomesha wapinzani. Mahakama yetu inao watu wachache ambao wanaivuruga, dhana ya haki mahali kokote ni kuitenda haki na kuifanya ionekane.

Hakimu hakumtendea haki Sugu na mwenzake na Hukumu za namna hii ziendelee kumpigia kengele Jaji Mkuu, kuona kuwa baadhi ya mahakimu wetu wanauumiza mhimili huu
http://sk.uploads.im/t/Ivfgs.jpg
:flag:

2

pole yake

3

JACKLINA ESAU wrote:

pole yake

:D  :D  :D

4

roy wrote:

siasa zilinishinda kitambo

5

JACKLINA ESAU wrote:

pole yake

asante kwa niaba

6

masopa wrote:

asante kwa niaba

o.O  o.O  o.O

7

roy wrote:

yan mimi bado naduwaa

Quick post

Write and submit your messageYou are here » mawazohuru njoo tuongee pamoja » HABARI NA MATUKIO MBALIMBALI » Mtatiro: Hukumu ya Sugu imenishangaza!